Ejike Asiegbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ejike Asiegbu
Amezaliwa Nigeria
Kazi yake Muigizaji, Muongozaji

Ejike Asiegbu ni muigizaji wa Nigeria na muongozaji wa filamu, Aliwahi kuhudumu kama Raisi wa Actors Guild of Nigeria.[1][2] Aliwahi pia kuchaguliwa kuwa msaidizi binafsi wa kiongozi wa Biafran Odumegwu Ojukwu Katika kipindi cha mkutano wa taifa wa kikatiba mnamo mwaka 1994 kule Abuja.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Benjamin, Njoku. "Ejike Asiegbu blasts Gambian film maker, Calls him ‘rants of a sore loser’", Vanguard Newspaper, 24 October 2015. Retrieved on 31 March 2016. 
  2. Husseini, Shaibu. "Nigeria: Godfather Ejike Asiegbu Returns", The Guardian Newspaper, AllAfrica, 8 August 2014. Retrieved on 31 March 2016. 
  3. Godwin, Ameh Comrade. "Life as Ojukwu’s P.A – Ejike Asiegbu", Daily Post, 24 February 2012. Retrieved on 31 March 2016.