Efioanwan Ekpo
Mandhari
Efianwan Ekpo (alizaliwa 25 Januari, 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Nigeria.
Ekpo alishiriki katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2003, Olimpiki katika majira ya joto mnamo mwaka 2004 na 2008, ubingwa wa Afrika wa mwaka 2006 na Kombe la Dunia la mwaka 2007. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Efioanwan Ekpo, archived from the original on 2020-04-18, https://web.archive.org/web/20200418105116/https://www.sports-reference.com/olympics/athletes/ek/efioanwan-ekpo-1.html, retrieved 2022-05-13
- ↑ FIFA.com profile
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Efioanwan Ekpo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |