Edwin Amandus Ngonyani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Edwin Amandus Ngonyani ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Namtumbo kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017