Nenda kwa yaliyomo

Earvin N'Gapeth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Earvin N'Gapeth (alizaliwa tarehe 12 Februari 1991) ni mchezaji wa mpira wa wavu huko Ufaransa. Ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Ufaransa na klabu ya mpira wa wavu ya Urusi, Zenit Kazan.

Alikuwa mshindi wa Ulaya mwaka 2015, alipata medali ya dhahabu katika Ligi ya mpira wa wavu ya Dunia miaka ya 2015 na 2017.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Earvin N'Gapeth alizaliwa tarehe 12 Februari mwaka 1991. Baba yake anaitwa Eric N'Gapeth, ni mchezaji wa zamani wa mpira wa wavu ambaye aliwakilisha Ufaransa katika miaka ya 1980, kaka yake anaitwa Swan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

FIVB profile