Earle E. Seaton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Earle Seaton (Bermuda 29 Februari 1924 - 1993) alikuwa mwanasheria.

Alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto wanne wa Dudley and Eva Seaton, wahamiaji kutoka St. Kitts. Alikuzwa huko Hemilton.

Alihitimu taasisi ya Berkeley, kama mkosoaji wa darasa mwaka 1941. Alikua bora Violin, alipata pesa kwa kucheza kwa watalii katika hoteli za Bermuda. Pia alikuwa bora kwenye tenisi. Uwezo wake wa tenisi ulimfanya kupata usomi kamili kwenye Chuo Kikuu Cha Howard kilichokuwepo Washington D.C.

Akiwa Howard alikuwa Rais wa Chuo Kikuu Cha Howard cha udugu Alpha Phi Alpha na alitukuzwa kusomea udaktari wa wanyama. Ndani ya kipindi cha miaka minne akiwa Howard ,Seaton alikutana na Arbeta Jones kutoka Texas ambaye baadaye alikuwa mke wake.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Earle E. Seaton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.