Duje Cop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Duje Cop

Duje Cop (alizaliwa 1 Mei 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Croatia na klabu ya Standard Liège katika nafasi ya ushambuliaji.

Cop alianza kujulikana katika tasnia ya soka alipoanza kuichezea klabu ya Málaga ya Hispania kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2016.

Kabla ya hapo Cop aliichezea klabu ya Dinamo Zagreb kuanzia mwaka 2012 hadi mwaka 2015 na kuiwezesha timu yake kuchukua kombe la Ueropa.

Pia Cop mwaka 2018 aliiwezesha timu yake kufika hatua ya fainali katika kombela dunia lililofanyika nchini Russia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Duje Cop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.