Dr. Mekam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dr. Mekam ni filamu ya Nollywood ya mwaka 2018, iliyotayarishwa na Oby Olebara Uzoukwu, pamoja na Phil Erabie na kuongozwa na Ike Nnaebue[1][2].

Ploti[hariri | hariri chanzo]

Filamu hii inaelezea kisa cha daktari aitwaye Dr. Mekam anayerejea nchini Nigeria akitokea nje ya nchi alikokuwa akihudumu kama tabibu na kuamua kugombea nafasi ya urais. BaadaYe anakuja kugundua kuwa, njia alIYoamua kuifuata ili kuwa rais haikuwa rahisi hata kidogo [3][4].

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

Mtiririko wa wahusika[5]

  • Uche Jombo
  • Kalu Ikeagwu
  • Seun Akindele
  • Yemi Blaq
  • Oby Olebara Uzoukwu
  • Gloria Anozieyoung
  • Chika Chukwu
  • Emeka Okoye
  • Eric Obinna
  • Eva Appiah

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dr. Mekam kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.