Dorothy Gwajima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dorothy Onesphoro Gwajima (pia anajulikana Gwajima Dorothy) ni mwanasiasa wa CCM wa Tanzania na mwanachama wa baraza la mawaziri tangu mwaka 2020.[1] [2] Aliteuliwa na Rais John Magufuli na bado anahudumu kama Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. <[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]