Nenda kwa yaliyomo

Doreen Sibanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Doreen Sibanda ni mzaliwa wa Uingereza na msanii wa Zimbabwe, pia ni msimamizi wa sanaa nchini Zimbambwe. Ni mkurugenzi mtendaji wa jumba la sanaa la Taifa la Zimbambwe[1] tangu mwaka 2004.

Sibanda amezaliwa nchini Uingereza na watu wenye asili ya Jamaika. Wazazi wake walimtia moyo katika kuchagua fani ya kazi ya elimu ya ualimu wa sanaa.

Aliolewa na Dr Misheck Sibanda.[2]

Kazi ya Doreen Sibanda imeonyeshwa katika nchi kadhaa tofauti kama Jamhuri ya Czech, Russia na Zimbabwe. Hii ilisababisha kuhamia Zimbabwe mnamo 1981-1988, na kuchukua jukumu la kiutawala katika [[Nyumba ya sanaa ya Zimbabwe] kama Afisa wa kwanza wa Elimu.[3]

Sibanda ameandika na kuhariri vitabu kadhaa.[4] including Zimbabwe Stone Sculpture: A retrospective, 1957-2004, The Zimbabwe Integrated Teacher Education Course (1982), and Mawonero: Modern and Contemporary Art in Zimbabwe (2015).

  1. "Doreen Sibanda: Life imitating art", The Herald. 
  2. "About Doreen Sibanda - Pindula, Local Knowledge". www.pindula.co.zw (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-08.
  3. "National Gallery of Zimbabwe historical background". Retrieved on 2021-04-10. (en-gb) Archived from the original on 2018-04-23. 
  4. Zimbabwe stone sculpture : a retrospective, 1957-2004. Sibanda, Doreen, 1954-. Harare: Embassy of France, with Weaver Press. 2004. ISBN 9781779220301. OCLC 61219317.{{cite book}}: CS1 maint: others (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Doreen Sibanda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.