Donisia Minja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Donisia Minja
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 9 Agosti 1999 (1999-08-09) (umri 24)
Mahala pa kuzaliwa    Dar es Salaam, Tanzania
Urefu 1.65 m (5 ft 5 in)
Nafasi anayochezea Kiungo Mshambuliaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa JKT Queens
Namba 7
Klabu za vijana
Simba Queens 2015-2016

JKT Queens 2016-

Timu ya taifa
Twiga Stars

* Magoli alioshinda

Donisia Minja (amezaliwa 9 Agosti 1999) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake ya JKT Queens ya nchini Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donisia Minja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.