Dominique Janssen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dominique Janssen

Dominique Johanna Anna Petrone Janssen RON (alizaliwa 17 Januari 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uholanzi ambaye anacheza kama beki katika klabu ya wanawake ya VfL Wolfsburg kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya wanawake ya nchini Uholanzi.[1][2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Women's World Cup 2019 – Match: Netherlands 2:0 Denmark (5 October 2018). Russian Football Union. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-01-13. Iliwekwa mnamo 2022-05-08.
  2. Profile. FIFA.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-06-21. Iliwekwa mnamo 2022-05-08. Archived 21 Juni 2018 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dominique Janssen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.