Nenda kwa yaliyomo

Dolly Rathebe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dolly Rathebe
Amezaliwa 2 Aprili 1928
Randfontein Afrika Kusini
Amekufa 10 Novemba 2004
Afrika Kusini
Kazi yake Mwanamziki na Mwigizaji

Dolly Rathebe (2 Aprili 1928 - 16 Septemba 2004) alikuwa mwanamuziki na mwigizaji wa Afrika Kusini [1] ambaye alifanya kazi na Elite Swingsters jazz bendi, na Alf Herbert's, African Jazz and Variety Show.

Alifariki kwa ugonjwa wa mshtuko [2]

Rathebe alizaliwa Randfontein, Afrika ya Kusini, lakini alikulia Sophiatown, ambayo inasemekana ilikuwa ni sehemu nzuri sana. Aligundua kipaji chake mwaka 1948 baada ya kuimba kwenye Mandari huko Johannesburg. [3]Mkaguzi wa talanta kutoka kampuni ya Gallo Record alimshawishi na haukupita muda akawa nyota.[4]

Rathebe alipata umaarufu mwaka 1949 akiwa na umri wa miaka 21 baada ya kutokea kwenye nightclub singer katika filamu ya Jim Comes To Jo'burg iliyotengenezwa na Waingereza. Filamu ya kwanza kuwaonesha watu wa Afrika kuwa na mtazamo chanya wakati wa kupiga picha (South African magazine) kuzuia uhusiano kati ya rangi

Wakati Alf Herbert's African Jazz na Variety burudani ilifunguliwa mwaka 1954 Rathebe alionekana kama Herbert's na kwa miaka mingi alikuwa mwigizaji wa kimataifa wakati akiimba na kikundi cha Jazz Elite Swingsters mwaka 1994.

Mwaka 2001 Rathebe alipokea Tuzo ya Lifetime Achievement Award ndani ya South African Music Awards.

Mwaka 2003, akiwa na umri wa miaka 75, Rathebe alitokea kwenye Tamasha la Johannesburg Sof'Town, A Celebration!, ambapo aliimba "Randfontein", Hadithi ya mchimbaji mlevi aliyerudi nyumbani na kumkuta mke wake kitandani na mwanamume mwingine, kisha akapigwa na kufukuzwa.

Kazi za Kijamii

[hariri | hariri chanzo]

Alianzisha ujenzi wa chumba cha michezo huko kijiji cha Sofasonke karibu na Klipgat kaskazini mwa Pretoria , Ukumbi uliitwa "Meriting kwaDolly" ukiwa na maaana ya "Dolly's Retreat".

Mwaka 2004 Rathebe alitunukiwa Tuzo ya Afrika kusini ya Order of Ikhamanga kwa mchango wake mzuri kwa muziki na sanaa za kuonyesha na kujitolea kwa maadili ya haki, uhuru na demokrasia."

  1. Shola Adenekan, "Dolly Rathebe - South Africa's first internationally renowned black diva", The Guardian, 28 September 2004.
  2. "Dolly Rathebe dies", South African Government, 10 November 2004. Retrieved on 23 April 2007. Archived from the original on 30 September 2007. 
  3. "Dolly Rathebe | Biography & History | AllMusic". AllMusic. Iliwekwa mnamo 10 Septemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. sahoboss. "Dolly Rathebe", South African History Online, 17 February 2011. (en) 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dolly Rathebe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.