Ditram Nchimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ditram Nchimbi (amezaliwa 10 Machi, 1993) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.

Ditram anacheza nafasi ya mshambuliaji wa kati.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ditram Nchimbi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.