Dioniso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Dionysus)
Jump to navigation Jump to search
Dioniso
Dionysos Louvre Ma87 n2.jpg
Sanamu ya Dioniso
Mungu wa Divai, Drama na Nishai
Makao Mlima Olimpos
Alama Thirso, Mzabibu, Ngozi ya chui, Chui, Chui-milia na Chui mweusi
Mwenzi Ariadna
Wazazi Zeu na Semele
Ulinganifu wa Kirumi Bacchus, Liber

Dioniso (Kigiriki: Διόνυσος, Diónysos) ni mungu wa divai na nishai katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Bacchus (pia anaitwa Liber) katika dini ya Roma ya Kale.

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dioniso kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.