Dhekra Gomri
Mandhari
Dhekra Gomri ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama beki wa Klabu ya AS Banque de l'Habitat pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mwanasoka wa kike : Eliminatoires - Championnat d'Afrique «aller» (Guinée Equatoriale 2012)". Maghress (kwa Kifaransa). 16 Januari 2012. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2021.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dhekra Gomri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |