Deus Kaseke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Deus Kaseke (amezaliwa Mbeya, Tanzania, 27 Agosti 1994) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu kutoka Tanzania.

Pia anaichezea klabu mashuhuri nchini Tanzania ambayo ni Yanga Sc. Kaseke anavaa jezi namba 4 katika klabu hiyo.

Timu alizowahi chezea[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Deus Kaseke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.