Dernière Minute
Mandhari
Dernière Minute | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Yondo Sister | |||||
Imetolewa | 1995 | ||||
Aina | Soukous | ||||
Urefu | 42:18 | ||||
Lebo | T.J.R. Music – CD AT 129 | ||||
Mtayarishaji | Yondo Sister | ||||
Wendo wa albamu za Yondo Sister | |||||
|
Dernière Minute ni jina la kutaja albamu ya mwanamuziki, mwimbaji na mnenguaji mashuhuri kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama Yondo Sister. Albamu imetoka mwaka wa 1995. Sehemu kubwa ya utayarishaji wa albamu hii ulifanyika nchini Ufaransa katika studio za T.J.R. Music. Albamu ilisambazwa na Sonodisc.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Hii ni orodha ya nyimbo zilizopo katika albamu hii.
- Madi
- Perdue De Vue
- A Chachun Son Goût
- Dernière Minute
- Africa
- Jo
- Maweke
- Je Me Sens Bien
Kikosi kazi
[hariri | hariri chanzo]- Sauti za uitikiaji - nyuma – Canta Ballou, Shimita
- Besi – Ngouma Lokito
- Gitaa – Dally Kimoko, Nene Tchakou, Philippe "Saladin" Ferreira
- Mwimbaji mkuu – Yondo Sister
- Tumba – Mavungu
- Gitaa la kati (Rhythm) – Lokassa Ya Mbongo
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Dernière Minute katika wavuti ya Discogs