Dennis Bergkamp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dennis Bergkamp
Sanamu la Dennis Bergkamp nje ya uwanjawa emirates

Dennis Bergkamp ni mchezaji wa zamani wa soka alikuwa ni kiungo na alikuwa ni mzaliwa wa Uholanzi katika mji wa Amsterdam, alizaliwa tarehe 10 Mei 1969.

Alionekana na timu ya Ajax akiwa na umri wa miaka 11 na akaanza kucheza kwa ustadi mnamo 1986.mnamo mwaka 1993 alisainiwa na klabu ya inter milan ya nchini Italia ambapo alikuwa na misimu miwili mibaya.Baadaye akajiunga na timu ya Arsenal mnamo 1995, aliboresha maisha yake, akiisaidia klabu kushinda mataji matatu ya Ligi Kuu, mataji manne ya Kombe la FA, na kutinga Fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA 2006, ambayo ilionekana mara yake ya mwisho kama mchezaji. Licha ya kubaini hamu ya kutokufundisha, Berkgamp aliwahi kuwa msaidizi wa Ajax kati ya mwaka 2011 na 2017.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dennis Bergkamp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.