Nenda kwa yaliyomo

Dellys

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Delles ni mji mdogo wa Mediteranea, kaskazini mwa nchi ya Algeria, uliopo katika jimbo la Boumerdès, karibu na kusini mwa Tizi-Ouzou na mashariki ya mto Sebaou, wilaya ya Dellys.

Mji huo uko umbali wa kilomita 45 kutoka Tizi Ouzou, umbali wa kilomita 50 kutoka Boumerdes, na kilomita 100 kutoka mji mkuu wa Algiers.

Pia panajulikana kama ufalme wa Othmani.

Mwaka 2008, manispaa hiyo ilikuwa na idadi ya watu 32,954.[1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-05. Iliwekwa mnamo 2021-06-05.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dellys kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.