Debora Fernandez
Mandhari
Debora Fernandes Mavambo (anajulikana pia kama Débora Fernandes; alizaliwa Luanda, Angola, 17 Februari 1991) ana uraia wa Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo[1]. Ana urefu wa mita 1.78 na anacheza nafasi ya kiungo wa kati.
Kabla ya kujiunga na Simba S.C. tarehe 6 Julai mwaka 2024, Débora alichezea timu mbalimbali katika ligi za ndani za Angola na Kongo. Ni mchezaji mshindani na Ana uwezo mkubwa wa kucheza katika nafasi za kiungo wa kati na kiungo wa ulinzi, ubora wake wa kukaba na kuchezesha umefanya alete uzoefu mkubwa kwenye kikosi cha Simba.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Debora Fernandez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |