Nenda kwa yaliyomo

David William Antonio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David William Valencia Antonio (alizaliwa 29 Desemba 1963) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ufilipino ambaye anahudumu kama Askofu wa Dayosisi ya Ilagan huko Isabela.[1][2]

  1. "Alumni Corner". Catholic U (Spring 2019). The Catholic University of America: 48.
  2. "Bishop David William Valencia Antonio". www.ucanews.com. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.