David Diop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

David Mandessi Diop (mnamo 9 Julai 1927 - 29 Agosti 1960) alikuwa mshairi wa Kifaransa mwenye asili ya Afrika Magharibi.

Alianza kuandika mashairi akiwa bado mwanafunzi wa shule.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Diop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.