Dave Mills (mwimbaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dave Mills alikuwa mwimbaji wa nchini Uingereza.

Alikuwa na wimbo uiliojulikana kimataifa uliojulikana kwa jina la "Love is a Beautiful Song". [1] [2] [3] [4] [5] ulipata hadhi ya dhahabu huko Australia . [6] Nyimbo nyingine za zilizojulikana nchini Afrika Kusini ni pamoja na "Theresa", [7] "All The Tears In The World", [8] "Home", [9] "I Can't Go Home To Mary", "Tomorrow is Over" na "Mexico". Nyimbo hizi zote ziliandikwa na Terry Dempsey ambaye alishinda tuzo ya SARI kwa wimbo bora wa "Home".

Mnamo 1970 alishinda tuzo za SARI kama mwimbaji bora wa kiume na mwimbaji wa Country na Magharibi . [10] Kufikia 1973 alikuwa amehamia nchini Australia. [11]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Hits of the world", Billboard, 23 May 1970 
 2. "Hits of the world", Billboard, 20 November 1971 
 3. Scapolo, Dean (2007). The Complete New Zealand Music Charts, 1966-2006: Singles, Albums, DVDs, Compilations. Maurienne House. ISBN 9781877443008. 
 4. "From the music capitals of the world", Billboard, 22 December 1973 
 5. "Top Forty", Papua New Guinea Post-Courier, 29 October 1971 
 6. Feldman, Peter (19 February 1972), "SARI Prize to Judy Page", Billboard 
 7. "Hits of the world", Billboard, 27 December 1969 
 8. "Hits of the world", Billboard, 12 December 1970 
 9. "Hits of the world", Billboard, 15 May 1971 
 10. "Johannesburg", Billboard, 5 December 1970 
 11. Feldman, Peter (11 August 1973), "From the music capitals of the world", Billboard 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dave Mills (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.