Nenda kwa yaliyomo

Daria Hennadiyivna Bilodid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa Judo Daria Hennadiyivna Bilodid
Mchezaji wa Judo Daria Hennadiyivna Bilodid

Daria Hennadiyivna Bilodid (kuzaliwa 10 Oktoba 2000) ni mcheza judo wa Ukraine[1] [2]pia ni mshindi wa medali ya dhahabu duniani na ulaya kwa mwaka 2019 katika uzito wa  kilo 48. Mwaka 2021 alishinda medali za shaba kwenye daraja la uzito wa kilo 48 kwa wanawake katika mashindano ya majira ya joto ya olimpiki 2020 huko Tokyo, Japani.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Quinn, Anthony, (born 20 April 1964), writer", Who's Who, Oxford University Press, 2017-12-01, iliwekwa mnamo 2021-11-27
  2. IJF. Oxford Music Online. Oxford University Press. 2003.
  3. "Companion August 2021: full issue PDF". BSAVA Companion. 2021 (8): 1–47. 2021-08-01. doi:10.22233/20412495.0821.1. ISSN 2041-2487.