Darga (bendi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Darga ni kikundi cha muziki kilichopo Casablanca, Moroko kilichoanzishwa mwaka 2001 na wanafunzi wa shule ya sanaa. Wanacheza muziki wa Gnawa na muziki wa jadi wenye mchanganyiko na mitindo ya Magharibi[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]