Daphne van Domselaar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Van Domselaar akiwa na Twente mnamo 2022

Daphne van Domselaar (alizaliwa 6 Machi 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uholanzi ambae anacheza kama golikipa wa timu ya taifa ya Uholanzi pamoja na klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL). [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daphne van Domselaar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.