Nenda kwa yaliyomo

Daniel Edward Mtuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniel Edward Mtuka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Manyoni Mashariki kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017