Daniel Caligiuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel Caligiuri

Daniel Caligiuri (amezaliwa 15 Januari 1988) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani katika ligi ya Bundesliga.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Caligiuri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.