Dani Carvajal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Carcajal akiichezea Real Madrid mwaka 2019

Daniel "Dani" Carvajal Ramos (alizaliwa tarehe 11 Januari 1992) ni mchezaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania kama beki wa kulia.

Alipokuzwa na Real Madrid baadaye alipelekwa Bayer Leverkusen na kurudi Real Madrid. Kwenyengazi ya timu ya taifa ya vijana wadogo chini ya miaka 19 alishinda 2011 European Championship.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dani Carvajal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.