Dafrosa Itemba
Mandhari
Dafrosa Itemba | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Majina mengine | Dafrosa kokulingilila Itemba |
Kazi yake | Mkurugenzi mkuu wa TAWREF |
Dafrosa Kokulingilila Itemba ni mtafiti katika masuala ya jamii, mazingira na afya, akilenga hasa katika ugonjwa wa UKIMWI.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Dafrosa ni Mkurugenzi mkuu wa TAWREF (Tanzania Women Research Foundation) nchini Tanzania[1]. Mnamo mwaka 2019, Dafrosa chini ya TAWREF walifikia kilele cha ujenzi wa nyumba 116 za bei ya nafuu kwa yatima na watoto waishio katika mazingira magumu, mradi ulioanza tangu 2012. [2] Dafrosa amechapisha makala mbalimbali juu ya ugonjwa wa UKIMWI,mojawapo ya makala zake ni
- Ufanisi wa gharama ya ushauri wa bure wa VVU na upimaji hiari kupitia Mashirika ya kijamii ya huduma za UKIMWI katika jamii za Kaskazini mwa Tanzania.[3]
- Historia ya Kiwewe na Unyogovu wa Kutabiri Kukamilika kwa Utiifu wa Matibabu ya Ukingaji Katika Nchi zenye kipato duni[4]
Makala nyingine ziko katika kiungo hiki
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.dailynews.co.tz/news/2019-07-205d32c2d26f8bb.aspx Ilihifadhiwa 6 Julai 2020 kwenye Wayback Machine. iliangaliwa mnamo 08 Aprili 2020
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-06. Iliwekwa mnamo 2020-07-06.
- ↑ https://www.semanticscholar.org/paper/Cost-effectiveness-of-free-HIV-voluntary-counseling-Thielman-Chu/ac418947ba9663beea5fa7d2f5d79162bc727cb0
- ↑ https://www.semanticscholar.org/paper/Trauma-History-and-Depression-Predict-Incomplete-to-Whetten-Shirey/ad72dddc2afb1e10a7994c1f1ac20bb64a91f65a
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dafrosa Itemba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |