Dženan Pejčinović
Mandhari
Dženan Pejčinović (alizaliwa 15 Februari 2005)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani kwa walio na umri chini ya miaka 18 .
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Dženan Pejčinović". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dženan Pejčinović kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |