D'Angelo Russell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Russel akiwa anachezea timu ya kikapu ya Brooklyn Nets mwaka 2019

D'Angelo Dante Russell (alizaliwa 23 Februari 1996) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Golden State Warriors katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).

Russell alichezea timu ya chuo cha Ohio State Buckeyes kabla ya kuchaguliwa kama chaguo la pili mwaka 2015 katika uchaguzi wa wachezaji katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu katika timu ya Los Angeles Lakers. [1] Alichukuliwa katika timu ya Brooklyn Nets mnamo mwaka 2017 na huko alifanikiwa kuchaguliwa kama mchezaji staa mwaka 2019.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu D'Angelo Russell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.