Nenda kwa yaliyomo

Golden State Warriors

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Timu ya Golden State Warriors wakiwa katika mazoezi mnamo mwaka 2010

Golden State Warriors ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Oakland, California. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Stephen Curry, Klay Thompson

Wachezaji wa timu ya Golden State Warriors,wakihamasishana kabla ya kuingia uwanjani

Historia ya Golden State Warriors imeanzia mjini Philadelphia mwaka 1946. Mnamo mwaka 1946 San Francisco, California walipatiwa kibali na timu hio kujulikana kama San Francisco Warriors mpaka mwaka 1971, ambapo jina la timu hio kubadilika na kuitwa Golden State Warriors. Pamoja na ubingwa wao wa msimu 1946-47, pia timu hii ya Golden State Warriors ilishinda mara tano katika historia yao, ikiambatana na ushindi waliopata huko Philadelphia baada ya msimu wa mwaka 1955–56. Lakini pia timu hii kubwa marekani imeshinda misimu ifuatayo 1974–75, 2014–15, 2016–17, 2017–18 na 2021-22.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Golden State Warriors kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.