Brooklyn Nets

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Brooklyn Nets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini New York City. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Tony Battie.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brooklyn Nets kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.