Nenda kwa yaliyomo

Fisi madoa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Crocuta crocuta)
Fisi madoa
Fisi madoa katika Kasoko ya Ngorongoro
Fisi madoa katika Kasoko ya Ngorongoro
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Hyaenidae (Wanyama walio na mnasaba na fisi)
Jenasi: Crocuta
Kaup, 1828
Spishi: C. crocuta
Erxleben, 1777
Msambao wa fisi madoa
Msambao wa fisi madoa

Fisi madoa ni mmoja wa spishi za fisi ambao ni wanyama wanaokula mizoga yaani wanyama waliokufa au walioachwa na wanyama wala nyama, kwa mfano simba au chui.

Fisi madoa pia ni wawindaji wazuri ambao wanaweza kujitafutia kitoweo chao wenyewe badala tu ya kutegemea mizoga.

Mbali na kula nyama, fisi madoa pia hula ndege, mijusi na wadudu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fisi madoa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.