Cristiano Zanin
Cristiano Zanin Martins (alizaliwa 15 Novemba 1975) ni wakili na profesa kutoka Brazil. Alipata sifa mbaya kama wakili binafsi wa raisi Luiz Inácio Lula da Silva katika kesi zinazohusiana na Operesheni Car Wash.
Mnamo tarehe 1 Juni 2023, Zanin aliteuliwa na raisi Lula da Silva kama Jaji wa Mahakama ya Juu ya Shirikisho, akichukua nafasi ya Jaji mstaafu alieitwa Ricardo Lewandowski.[1][2] Uteuzi wake uliidhinishwa na Seneti ya Shirikisho katika upigaji kura wa 58–18 tarehe 21 Juni 2023. [3][4]
Maisha na elimu
[hariri | hariri chanzo]Wazazi wake walitambulika kama Maria Roseli na Nelson Martins, Cristiano Zanin alizaliwa katika mji wa Piracicaba katika familia ya tabaka la kati na kuhamia São Paulo mnamo mwaka 1994 kwaajili ya kusoma katika Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Kipapa cha Kikatoliki cha São Paulo (PUC-SP), na kuhitimu mnamo 1999. [5] Alihitimisha utaalamu wa utaratibu wa kiraia katika chuo kikuu hicho. [6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lula indica Cristiano Zanin para vaga no Supremo Tribunal Federal". Gov.br (kwa Kireno (Brazili)). 1 Juni 2023. Iliwekwa mnamo 21 Juni 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Angelo, Tiago (1 Juni 2023). "Lula indica advogado Cristiano Zanin para vaga de ministro do Supremo". Consultor Jurídico (kwa Kireno (Brazili)). Iliwekwa mnamo 21 Juni 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Borges, Rebeca; Mendes, Sandy (21 Juni 2023). "Por 58 votos a 18, Senado aprova indicação de Zanin para o STF". Metrópoles (kwa Kireno (Brazili)). Iliwekwa mnamo 21 Juni 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Plenário do Senado aprova Cristiano Zanin para vaga no Supremo Tribunal Federal". Terra (kwa Kireno (Brazili)). 21 Juni 2023. Iliwekwa mnamo 21 Juni 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Campbell, Ullisses (23 Septemba 2017). "Cristiano Zanin, um advogado dos diabos". Veja (kwa Kireno (Brazili)). Iliwekwa mnamo 21 Juni 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Canário, Pedro; Cardoso, Maurício; Santos, Rafa; Voltare, Emerson (15 Desemba 2019). ""Modelo de processo baseado em delações impede o verdadeiro combate à corrupção"". Consultor Jurídico (kwa Kireno (Brazili)). Iliwekwa mnamo 21 Juni 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cristiano Zanin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |