Concorde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
alama za muziki wa wimbo wa taifa wa Gabon

Concorde ni wimbo wa taifa wa Gabon. Uliandikwa na kutungwa na mwanasiasa Georges Aleka Damas, ulipitishwa baada ya uhuru mnamo mwaka 1960.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Katika hotuba yake huko Port-Gentil tarehe 15 Machi 1962, Rais Leon Mba alisema nia yake ya kutaka wimbo wa taifa utafasiriwe katika lugha mbalimbali za Gabon "ili katika kijiji cha mbali zaidi nchini kila mtu aweze kuelewa maana yake".[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-20. Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  2. https://books.google.com/books?id=OAwoMK-DB-kC&q=%22various+Gabonese+dialects%22