Clive Scott (mwigizaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Clive Cleghorn
Amezaliwa 4 Julai 1934
Parkview, Gauteng, Afrika Kusini
Amekufa Desemba 2021
Jina lingine Clive Scott
Kazi yake Mwigizaji

Robert Clive Cleghorn (au Clive Scott; 4 Julai 1937 - 28 Julai 2021) alikuwa mwigizaji nchini Afrika ya Kusini, maarufu zaidi kwenye maonyesho yake ya filamu kama The Villagers na Isidingo kwenye runinga ya soap operas.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Clive Scott alizaliwa Parkview, Johannesburg, nchini Afrika ya kusini mwaka 1937 kama Robert Clive Cleghorn. Baada ya kifo cha baba yake mama yake Clive scott aliamua kwenda kuishi katika mji wa Cape Town huko Afrika Kusini.

Clive scott alihitimu elimu yake katika shule ya St. George's Grammar School na alichaguliwa kuwa kaka mkuu wa shule mwaka 1955 shuleni hapo. Clive Scott baada ya kwenda kuishi Zimbabwe Rhodesia kwa miaka miwili aliamua kuondoka na kwenda kuishi Uingereza na kukaa huko miaka 12 na [1] kusoma katika chuo cha sanaa cha Webber Douglas Academy of Dramatic Art. [2]mwaka 1965 alifanya utumbuizaji wa The mousetrap huko uingereza. [1]Na alirudi Afrika ya kusini mnamo mwaka 1970. Ilipofika mwaka 1976 alionekana kwenye matukio ya vipindi 76 vya tamthilia ya The Villagers kwa zaidi ya miaka mitatu na kutengeneza jina lake la kisanii kama Ted Dixon. [3]Pia alikua akifanya baadhi ya matangazo katika runinga za Afrika ya kusini.[4] Na alikua msemaji wa umma katika mambo ya esoteric[4] na alifariki julai 8 2021 akiwa na miaka 84.[5][6]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named NET
  2. "Clive Scott". Avengers on Radio. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-16. Iliwekwa mnamo 7 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. de Beer, Diane (25 February 2014). "'Villagers' star tells it like it is". IOL. Iliwekwa mnamo 7 May 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. 4.0 4.1 "Clive Scott". Afro Celt Productions. Iliwekwa mnamo 7 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Tributes pour in for TV veteran and comedian Clive Scott who has died aged 84". TimesLIVE (kwa en-ZA). Iliwekwa mnamo 29 July 2021.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Condolences pour in for former 'Isidingo' actor Clive Scott". The Citizen (kwa Kiingereza). 29 July 2021. Iliwekwa mnamo 29 July 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clive Scott (mwigizaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.