Nenda kwa yaliyomo

Clinton Mata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mata akichezea Brugge

Clinton Mukoni Mata Pedro Lourenço (alizaliwa 7 Novemba 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Angola, ambae anacheza kama beki wa kulia wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa na timu ya taifa ya Angola akicheze katika mechi nane.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Angola - Clinton Mata - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clinton Mata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.