Clint Eastwood
| Clint Eastwood | |
|---|---|
Eastwood mnamo 2010 | |
| Amezaliwa | Clinton Eastwood, Jr. 31 Mei 1930 San Francisco Marekani |
| Kazi yake | Mwigizaji Mtayarishaji |
| Miaka ya kazi | 1955–hadi leo |
| Ndoa | Maggie Johnson (1953–84; watoto wawili) Dina Ruiz (1996–present; mtoto mmoja) |
| Watoto | Kimber Tunis Kyle Eastwood Alison Eastwood Scott Eastwood Kathryn Reeves Francesca Fisher-Eastwood Morgan Eastwood |
Clinton Eastwood, Jr (amezaliwa 31 Mei 1930) ni mwigizaji wa filamu, mtunzi wa nyimbo, muongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani.
Anafahamika zaidi kwa kucheza filamu za Western maarufu kama Spaghetti Westerns, ni filamu zinazotoka sana nchini Italia hiyo ilikuwa kwemye miaka ya 60 akiwa na muongozaji wa filamu wa kiitalia Sergio Leone, katika mfululizo wa filamu ya The Man with No Name.
Mfululizo huo kulikuwa na filamu kama A Fistful of Dollars (Iliyochezwa 1964) For a Few Dollars More (Iliyochezwa 1965) na The Good, the Bad and the Ugly (Iliyochezwa 1966).
Mbali na filamu hizo Clint alicheza katika filamu nyingine mbalimbali ikiwemo ile ya Dirty Harry aliocheza kama Inspekta Dirty Harry Callahan katika mfululizo huo wa filamu ya Dirty Harry filamu ambayo ilitamba sana kwenye miaka ya 1970.
Maisha ya Mwanzo
[hariri | hariri chanzo]Filamu za Mwanzo
[hariri | hariri chanzo]Filamu Alizotoa
[hariri | hariri chanzo]Filamu alizoongoza
[hariri | hariri chanzo]- Unforgiven (1992)
- A Perfect World (1993)
- Mystic River (2003)
- Million Dollar Baby (2004)
- Flags of Our Fathers (2006)
- Letters from Iwo Jima (2006)
Nyimbo Alizototunga
[hariri | hariri chanzo]- "Unknown Girl" (Nyimbo Moja, 1961)
- "Rowdy" (Nyimbo Moja)
- "For You, For Me, For Evermore" (Nyimbo Moja)
- Rawhide's Clint Eastwood Sings Cowboy Favorites (LP)
- Paint Your Wagon (Nyimbo ya Filamu)Paint Your Wagon
- Kelly's Heroes (Nyimbo ya Filamu)Kelly's Heroes]]
- "Barroom Buddies" (Nyimbo Moja, 1980) na Merle Haggard
- "Cowboy in a Three Piece Suit" (Nyimbo ya Moja, 1981)
- "Make My Day" (Nyimbo Moja, 1984) with T.G. Sheppard
- Eastwood After Hours: Moja kwa Moja Katika Carnegie Hall
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- saga.co.uk Clint still riding high, 19 October 2006 Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- filmreference.com Clint Eastwood Wasifu
- adherents.com The Religious Affiliation of actor/director Clint Eastwood Ilihifadhiwa 29 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.
- CBS Evening News interview, Feb. 6, 2005Ilihifadhiwa 13 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Career Ilihifadhiwa 15 Desemba 2018 kwenye Wayback Machine.
- Eastwood Awards
