City of Joy (filamu ya 2016)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

City of Joy ni filamu ya maandishi ya mwaka 2016 iliyoandikwa na kuhaririwa na Madeleine Gavin, ikihusisha wanafunzi wa daraja la kwanza katika kituo cha uongozi kilichopo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo[1][2][3] [4] .

Filamu ilizinduliwa na kituo cha filamu cha Netflix tarehe 7 Septemba 2018.[5]

Nguzo[hariri | hariri chanzo]

Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni eneo ambalo kuwa mwanamke ni vigumu, mara nyingi hukumbwa na ghasia kufuatia vita vya muda mrefu vya miaka 20 vinavyoendeshwa na ukoloni. Katika filamu hiyo, wanawake huungana pamoja katika kituo cha uongozi ili kutafuta namna ya kushughulikia matukio ya kutisha ambayo wamelazimika kuyaishi na kujitokeza upande wa pili kuwa viongozi na hamasa kwa wanawake wengine katika eneo hilo [6] [7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "City of Joy: the powerful Netflix documentary where 'everything is about love'". the Guardian (kwa Kiingereza). 2018-09-04. Iliwekwa mnamo 2022-08-07. 
  2. "City of Joy Movie Review | Common Sense Media". www.commonsensemedia.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-07. 
  3. "The City of Brotherly Love, 2012", Everything is Relevant (Concordia University Press), 2019-11-01: 209–212, iliwekwa mnamo 2022-08-06 
  4. "Space:", Identity and Industry (MQUP), 2019-12-26: 32–66, iliwekwa mnamo 2022-08-06 
  5. Sheila O'Malley. "City of Joy movie review & film summary (2018) | Roger Ebert". https://www.rogerebert.com/ (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-07. 
  6. Crystalia, Eva; Sunardi, Sunardi (2018-07-06). "Evaluative Language as Portrayed in The Texas Chainsaw Massacre Movie Review by Roger Ebert: An Appraisal Analysis". E-Structural 1 (01): 58–69. ISSN 2621-9395. doi:10.33633/es.v1i01.1817. 
  7. Can Maraşlı, Merve (2018-07-01). "Presentation of nationalism in July 15th Films: Example of “July 15th Documentary of Presidency”". International Journal of Social Sciences and Education Research: 514–529. ISSN 2149-5939. doi:10.24289/ijsser.428849. 
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu City of Joy (filamu ya 2016) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.