Chuo Kikuu cha Idaho
Mandhari
Chuo Kikuu cha Idaho ni chuo kikuu cha umma huko Moscow, Idaho, Marekani.
Chuo kikuu kina wanafunzi 11,957. Kilianzishwa mwaka 1889. Rais wa sasa wa chuo kikuu hicho ni M. Duane Nellis.
Michezo
[hariri | hariri chanzo]Timu ya wanariadha wa chuo kikuu huitwa Vandals. Mara nyingi hushindana katika Mkutano Mkuu wa Sky.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Idaho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |