Christos Dantis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christos Dantis

Christos Dantis (alizaliwa 26 Septemba 1966, Christos Vlahakis) ni mwimbaji, mtunzi, mshairi na mtayarishaji wa rekodi nchini Ugiriki anayejulikana kwa nyimbo zake kama "To Palio Mou Palto" na "Ena Tragoudi Akoma" na wimbo wa "My Number one" akiwa pamoja Elena Paparizou.[1][2][3][4]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

  • Lycanthropy (2003)
  • Wind in the Wires (2005)
  • The Magic Position (2007)
  • The Bachelor (2009)
  • Lupercalia (2011)
  • Sundark and Riverlight (2012)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Eurovision 2005 : Greece Helena Paparizou – My Number One. Eurovisioncontest.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-03-12. Iliwekwa mnamo 2023-05-30.
  2. TheLoraenglish (6 January 2012). ΓΙΩΡΓΟΣ ΧΑΤΖΗΝΑΣΙΟΣ ft ΧΡΗΣΤΟΣ ΔΑΝΤΗΣ.Kigezo:Cbignore
  3. Straight to the Top. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-04-12. Iliwekwa mnamo 2023-05-30.
  4. Christian Dante* – Turn On. discogs.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christos Dantis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.