Nenda kwa yaliyomo

Christopher Obure

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hon.Christopher Obure

Christopher Mogere Obure (29 Septemba 1943) ni mwanasiasa wa Kenya,mwanachama wa Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo la Bobasi katika bunge la kitaifa la Kenya katika uchaguzi wa ubunge wa Desemba 2007.[1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hon. Christopher Mogere Obure, EGH, M.P. (Senator Kisii County)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-07. Iliwekwa mnamo 2024-06-24.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
  2. Oduo, Bethuel. "They left the game for 'siasa'". The Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-06-08.