Chororo-kaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chororo-kaya

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Nusufamilia: Mustelinae (Wanyama wanaofanana na chororo)
Jenasi: Mustela (Chororo)
Linnaeus, 1758
Spishi: M. putorius
Linnaeus, 1758
Nususpishi: M. p. furo
Linnaeus, 1758

Chororo-kaya ni mnyama mdogo alaye nyama. Chororo ni wanafamilia ya Mustelidae wanaojumlisha konje, nyegere, pamoja na fisi-maji.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chororo-kaya kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.