Chomo Lhari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Jomolhari, upande wa Kusini-Magharibi, mwaka wa 1938

Chomo Lhari (au Jomolhari) ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,314 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Uko kati ya Bhutan na China (Tibet).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chomo Lhari kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.