Chinwe Ohajuruka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chinwe Ohajuruka mbunifu wa kijani mzaliwa wa Nigeria.[1][2] Anagawanya muda wake kati ya Nigeria na Merikani kwa miradi.[3] Alipata tuzo ya Afrika kwa Mpango wa Cartier Women's Initiative Awards nchini Ufaransa mwaka 2015 kwa mchango wake katika nyumba nafuu za kijani na ujasiriamali wa kijamii.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chinwe Ohajuruka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "The African Diaspora: Beyond Remittance". Africa.com. 10 December 2019. Iliwekwa mnamo 8 March 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "The World Is Waiting For The Rise Of African Women –Ohajuruka", The Independent, July 20, 2018. Retrieved on 9 March 2020. 
  3. "Nigerian Core Team". Iliwekwa mnamo 8 March 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Cartier Women's Initiative Awards 2015 : l'Afrique renouvelle son doublé", Le Point, 19 November 2015.