Nenda kwa yaliyomo

Chima Nwosu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chima Nwosu
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaNigeria Hariri
Nchi anayoitumikiaNigeria Hariri
Jina halisiChima Hariri
Jina la familiaNwosu Hariri
Tarehe ya kuzaliwa12 Mei 1986 Hariri
Mahali alipozaliwaNigeria Hariri
Lugha ya asiliKiigbo Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Kiigbo, Nigerian Pidgin Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoNigeria women's national football team Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Ameshiriki2004 Summer Olympics Hariri

Chima Nwosu (alizaliwa 12 Mei 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Nigeria. Alishiriki na timu ya taifa ya Nigeria katika michezo ya Olimpiki ya mwaka 2004. Na anacheza kwenye klabu ya wanawake ya Inneh Queens.[1]

  1. "Olympic Women's Football Tournaments Athens 2004 – Squad List: Nigeria (NGR)". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-07. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2015. {{cite news}}: |archive-date= / |archive-url= timestamp mismatch; 2013-01-28 suggested (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chima Nwosu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.