Chikondi Gondwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chikondi Gondwe
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 19 Septemba 1988
Mahala pa kuzaliwa    Malawi
Nafasi anayochezea Kiungo
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi

* Magoli alioshinda

Chikondi Gondwe, (alizaliwa 19 Septemba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Malawi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya CY Sisters na Timu ya Taifa ya Wanawake Malawi.[1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Gondwe aliichezea Malawi katika misimu miwili ya michuano ya Kombe la Wanawake la COSAFA( 2020 na 2021).[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kambuwe, Mabvuto (14 July 2021). Golden Boot race heats up in women’s league. Jalada kutoka ya awali juu ya 2023-03-13. Iliwekwa mnamo 16 October 2021.
  2. Chikondi Gondwe - Soccer player profile & career statistics - Global Sports Archive. globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2023-03-13.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chikondi Gondwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.