Chepe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aina mbili za chepe.

Chepe (pia "shepe", "beleshi", "koleo" na "sepetu" au "spedi" kutoka Kiingereza "spade") ni zana ya ujenzi ya mkono inayoweza kuwa ya chuma au mbao inayotumika katika kuchotea mchanga na kuchanganyia zege wakati wa ujenzi. Pia chepe hutumika katika kuchimba mashimo.